Mon 15 Jun 2009
Baada ya Google Suggest Kwa Kiswahili Sasa Facebook Iko Ya Kiswahili
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: lugha , zanaToa Maoni
Baada ya Google Suggest ya Kiswahili kuanza kazi, Facebook nao wametoa toleo la Kiswahili. Baadhi yetu wanaona Kiswahili lugha ya ovyo, sio kweli. Makampuni ya teknolojia yanatambua kuwa lugha hii ina nguvu kubwa hasa siku za mbeleni. Wako wazungumzaji zaidi ya milioni 100. Hii sio idadi ndogo.
Kuhusu Google Suggest toka Blogu ya Google
Tangu kuzinduliwa kwa Google Suggest Mwezi Agosti, wengi wamefurahia urahisi wa kupata vidokezi vya maneno papo hapo, kabla ya kuendeleza neno lote - iwapo wakitumia lugha ya kiingereza, kifaransa au Amharic.
The social-networking website Facebook has launched in Swahili, targeting more than 110m speakers of the language.
Usipitwe na maoni/majadiliano



